Pale wakali wawili wa muziki wa Bongo wanapo kutana kwenye ngoma kali toka central zone kati kati ya nchi jijini Dodoma, ni Nas Sely akimshirikisha Zito Man, ngoma inajulikana kwa jina la WAKIPOGORO, imefanyika kwenye studio za KAIZA RECORD producer ni Ben lee,kwa kuisikiliza na kudownload bonyeza hapo chini
New: Enock Boi_Shauli zao (Official Audio)
Kwa hakika maisha ni safari ndefu yenye changamoto na misukosuko ya kila namna,pamoja na haya yote yatupasa kuishi vizuri na watu wote hapa duniani,kwani juu tuendako hatujui tutaishi vipi,tupendane ndugu jamaa na marafiki,tusinyanyasane kwa kusimangana kwa namna yoyote,Sio maneno yangu Bali ni ya #Enock_Boi katika ngoma yake mpya kabisa #Shauli zao,Isikilize na kuidownload Hapa.
Dimond platnumz hajajenga nyumba Bali kapanga
Inasemekana eti mjengo unao kick kwa Sasa mjengo wa WCB wasafi ni wakupanga,Dimond platnumz hajajenga mjengo huo kama habari zinavyo semekama, kwa taarifa zaidi bonyeza link hii
http://nairobinews.nation.co.ke/chillax/diamond-rents-sh36m-house-new-wasafi-tv-station/
http://nairobinews.nation.co.ke/chillax/diamond-rents-sh36m-house-new-wasafi-tv-station/