Baada ya kimya kirefu cha kundi la Yamoto band lililo chini ya usimamizi wa mkubwa wa hizi kazi anayejulikana kwa jina la Side Fela a.k.a Mkubwa Fela, kwa sasa mmoja wa wanakundi hilo ameamua kuachia single yake aliyo imba akiwa solo, hali inayopelekea watu kuanza kuamini kuwa yale yaliyosemwa kuwa kundi hilo limesambalatika na sasa kila mmoja atakuja kivyake kama Aslay alivyo anza kuonesha njia. kwa kuutazama au kuupakua wimbo huu fuatilia hapo chini.
Home »
» New song Beka Flavour - Libebe (OFFICIAL VIDEO)
0 comments:
Post a Comment