Kwa hakika maisha ni safari ndefu yenye changamoto na misukosuko ya kila namna,pamoja na haya yote yatupasa kuishi vizuri na watu wote hapa duniani,kwani juu tuendako hatujui tutaishi vipi,tupendane ndugu jamaa na marafiki,tusinyanyasane kwa kusimangana kwa namna yoyote,Sio maneno yangu Bali ni ya #Enock_Boi katika ngoma yake mpya kabisa #Shauli zao,Isikilize na kuidownload Hapa.