True entertainment begins at home

Nas sely ft Enock Boi & Zitto man#come to dance

Kwa mara nyingine mkali wa central Tanzania pale ulipo mji mkuu wa Tanzania (DODOMA), anajulikana kwa jina la Nas Sely akiwashirikisha Zitto Man na mkali wa Vocal toka Dar es salaam@Enock Boi ambae pia ndio mpishi wa mdundo mzima wa ngoma hii. Isikilize na kupakua hapa hapa


0 comments:

Post a Comment