New track from Chin Beez itazame kupitia Kwetukwanzatz blog
Saida Karoli X Belle 9 & G Nako - Kichaka.mp3
Hii hapa Ngoma mpya kutoka kwa saida Kaloli akiwashirikisha Belle 9 na G Nako inaitwa kichaka,
hiki ni kichaka kweli, isikilize na kuipakua hapa
hiki ni kichaka kweli, isikilize na kuipakua hapa
Rich Mavoko Ft. Fid Q - Sheri.mp3
Huu hapa Muunganiko bora kabisa kati ya mtaaramu wa voko tota WCB Rich Mavoko na mtaaramu wa muziki wa kufokafoka toka jiji la Mwanza Fid Q, umefanyika kwenye ngoma hii #SHERI....sikiliza na kudownload hapa hapa

LAVA LAVA FT LINEX- WAOO (Officia Video)
Kichupa kingine kutoka kwa Linex Sunday Mjeda#WAO kitazame kupitia blog yako pendwa ya kwetukwanzatz sasa ili uweze kuona maufundi kutoka kwa vichwa hizi viwili
NEW SONG:Najim Melody- Daine (Official audio)
Kichwa kingine tena kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Flavour, anajulikana kwa jina la kisanii Najim Melody kutoka studio za Jaka records zilizopo Temeke jijini Dar es salaam, ameachia ngoma mpya kabisa #Daine iliyopikwa ndani ya studio ya Jaka Records
Kwa kumsaport/kumtiam moyo sikiliza na kupakua (Download) kupitia www.kwetukwanzatz.blogspot.com, kisha mpe coment yako pale utakapoona panastahili, lakini pia unawezakumpa hongera zake pale alipofanya vyema.
Kwa kumsaport/kumtiam moyo sikiliza na kupakua (Download) kupitia www.kwetukwanzatz.blogspot.com, kisha mpe coment yako pale utakapoona panastahili, lakini pia unawezakumpa hongera zake pale alipofanya vyema.
NEW: belle 9 ft G Nako - Maole (OFFICIAL VIDEO)
Another heat joint kutoka kwa wale jamaa wa ma vocal na ma style wameamsha
dude kivingine tena hapa wamekuja na ngoma inayoitwa Maole, isikilize na
kuidownload hapa
DOWNLOAD
NEW :Mahair khan#HUBA YA PENZI (OFFICIAL AUDIO)
Hakika Tanzania ni nchi yenye vipaji vya hali ya juu, Huyu hapa kijana mpya kabisa kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flavor Mahar Khan ameachia ngoma yake itakayo mtambulisha katika ulimwengu huu wa uziki, ningoma iliyoshiba kila idara kwa kuitazama au kuidownload bonyezakitufe cha ku- Download hapa chini
New song Beka Flavour - Libebe (OFFICIAL VIDEO)
Baada ya kimya kirefu cha kundi la Yamoto band lililo chini ya usimamizi wa mkubwa wa hizi kazi anayejulikana kwa jina la Side Fela a.k.a Mkubwa Fela, kwa sasa mmoja wa wanakundi hilo ameamua kuachia single yake aliyo imba akiwa solo, hali inayopelekea watu kuanza kuamini kuwa yale yaliyosemwa kuwa kundi hilo limesambalatika na sasa kila mmoja atakuja kivyake kama Aslay alivyo anza kuonesha njia. kwa kuutazama au kuupakua wimbo huu fuatilia hapo chini.
DOWNLOAD
New:nafasi za kazi TANESCO, FAST JET, NHIF-May 2017
New. Nafasi za ajira kutoka Tanesco Tanzania May 2017
http://bongolatestblog.blogspot.com/2017/05/10-job-opportunities-at-nhif-deadline.html
http://bongolatestblog.blogspot.com/2017/05/10-job-opportunities-at-nhif-deadline.html
Aslay ft Khadija Kopa - Usiitie doa (OFFICIA VIDEO)
Aslay aachia wimbo mpya safari hii kamshilikisha malkia wa mipasho Khadija Kopa, wimbo unaitwa usiitie doa, Ku download bonyeza kitufe hapo chini
New joint from Bongo Records
New Hit joint kutoka kwenye ile studio iliyoongoza kwa kutoa ngoma zenye ujazo na ladha ya hali ya juu myaka ya 90' (Bongo Records) chini ya producer P Funk, ngoma hii imefanywa na Bongolos ft Wape
Itazame hapa
Itazame hapa
Makonda afunguka mjadala wa DAUDI BASHITE
Hatimaye mkuu wa mkoa wa Dar es salaama afunguka juu ya utata wa majina yake, mzozo wa kuwa aliye mkuu wa mkoa wa Dar anaitwa Poul Christian Makonda au ni Daudi Bashite ulipata umaalufu sana baada ya wanasiasa na baaddi ya watu walio nje ya siasa kulivalia njuga na kutaka kupata maelezo toka kwa mkuu huyo wa mkoa kutoa tamko juu ya majina hayo.
Sikiliza majibu ya mkuu huyo wa mkoa kutoa ufafanuzi pindi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Television cha Star TV.
Aslay - Muhudumu (OFFICIAL VIDEO)
Hii hapa ile track mpya toka kwa Aslay inayo julikana kwa jina la Muhudumu
Ngoma Mpya toka kwa Enock boi
New Hit Song kutoka kwa yule mkali wa vocal nchini@Enockboi
ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la #Sijiwezi , ngoma hii
ameifanya chini wa mproducer mkali mwenye uwezo wa kutengeneza zile ngoma za
ku-beng@Djobanjo #BM record
Ili kuweza kumsapoti kijana huyu anae kuja kwa kasi ya ajabu
Unaweza kupakua ngoma hii kupitia link ifuatayo http://mdundo.com/song/49237