New Hit joint kutoka kwenye ile studio iliyoongoza kwa kutoa ngoma zenye ujazo na ladha ya hali ya juu myaka ya 90' (Bongo Records) chini ya producer P Funk, ngoma hii imefanywa na Bongolos ft Wape
Itazame hapa
Itazame hapa
True entertainment begins at home
True entertainment begins at home
Pale wakali wawili wa muziki wa Bongo wanapo kutana kwenye ngoma kali toka central zone kati kati ya nchi jijini Dodoma, ni Nas Sely ...
0 comments:
Post a Comment