True entertainment begins at home

NEW SONG:Najim Melody- Daine (Official audio)

Kichwa kingine tena kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Flavour, anajulikana kwa jina la kisanii Najim Melody kutoka studio za Jaka records zilizopo Temeke jijini Dar es salaam, ameachia ngoma mpya kabisa #Daine iliyopikwa ndani ya studio ya Jaka Records

Kwa kumsaport/kumtiam moyo sikiliza na kupakua (Download) kupitia www.kwetukwanzatz.blogspot.com, kisha mpe coment yako pale utakapoona panastahili, lakini pia unawezakumpa hongera zake pale alipofanya vyema.


NEW: Buravan - Just a Dance ft AY


 

https://drive.google.com/file/d/0B9bYTXwy1_-kOERrU3FjQnVTcFk/view?usp=sharing

 

NEW: belle 9 ft G Nako - Maole (OFFICIAL VIDEO)

Another heat joint kutoka kwa wale jamaa wa ma vocal na ma style wameamsha dude kivingine tena hapa wamekuja na ngoma inayoitwa Maole, isikilize na kuidownload hapa

 

DOWNLOAD

Jully baby#Nimakubwa (OFFICIAL AUDIO)

NEW :Mahair khan#HUBA YA PENZI (OFFICIAL AUDIO)

Hakika Tanzania ni nchi yenye vipaji vya hali ya juu, Huyu hapa  kijana mpya kabisa kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flavor Mahar Khan ameachia ngoma yake itakayo mtambulisha katika ulimwengu huu wa uziki, ningoma iliyoshiba kila idara kwa kuitazama au kuidownload bonyezakitufe cha ku- Download hapa chini


Enock Boi #SIJIWEZI (OFFICIAL AUDIO)


Ile ngoma ya Enock Boi#SIJIWEZI, Sasa unaweza kuisikiliza au ku Download hapa ikiwa na ubora wa hali ya juu

New song Beka Flavour - Libebe (OFFICIAL VIDEO)

Baada ya kimya kirefu cha kundi la Yamoto band lililo chini ya usimamizi wa mkubwa wa hizi kazi anayejulikana kwa jina la Side Fela a.k.a Mkubwa Fela, kwa sasa mmoja wa wanakundi hilo ameamua kuachia single yake aliyo imba akiwa solo, hali inayopelekea watu kuanza kuamini kuwa yale yaliyosemwa kuwa kundi hilo limesambalatika na sasa kila mmoja atakuja kivyake kama Aslay alivyo anza kuonesha njia. kwa kuutazama au kuupakua wimbo huu fuatilia hapo chini.

DOWNLOAD

New:nafasi za kazi TANESCO, FAST JET, NHIF-May 2017

QBOY - Karorero

Aslay ft Khadija Kopa - Usiitie doa (OFFICIA VIDEO)

Aslay aachia wimbo mpya safari hii kamshilikisha malkia wa mipasho Khadija Kopa, wimbo unaitwa usiitie doa, Ku download bonyeza kitufe hapo chini

New joint from Bongo Records

New Hit joint kutoka kwenye ile studio iliyoongoza kwa kutoa ngoma zenye ujazo na ladha ya hali ya juu myaka ya 90' (Bongo Records) chini ya producer P Funk, ngoma hii imefanywa na Bongolos ft Wape

Itazame hapa

Makonda afunguka mjadala wa DAUDI BASHITE

Hatimaye mkuu wa mkoa wa Dar es salaama afunguka juu ya utata wa majina yake, mzozo wa kuwa aliye mkuu wa mkoa wa Dar anaitwa Poul Christian Makonda au ni Daudi Bashite ulipata umaalufu sana baada ya wanasiasa na baaddi ya watu walio nje ya siasa kulivalia njuga na kutaka kupata maelezo toka kwa mkuu huyo wa mkoa kutoa tamko juu ya majina hayo.

Sikiliza majibu ya mkuu huyo wa mkoa kutoa ufafanuzi pindi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Television cha Star TV. 

Aslay - Muhudumu (OFFICIAL VIDEO)

Hii hapa ile track mpya  toka kwa Aslay inayo julikana kwa jina la Muhudumu

Rayvanny - Zezeta (OFFICIAL VIDEO)

Hasara roho by Darasa (CMG)

Ngoma Mpya toka kwa Enock boi




 New Hit Song kutoka kwa yule mkali wa vocal nchini@Enockboi ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la #Sijiwezi , ngoma hii ameifanya chini wa mproducer mkali mwenye uwezo wa kutengeneza zile ngoma za ku-beng@Djobanjo #BM record

Ili kuweza kumsapoti kijana huyu anae kuja kwa kasi ya ajabu Unaweza kupakua ngoma hii kupitia link ifuatayo http://mdundo.com/song/49237

Black Wings Records yaanza maandalizi



 wale wakali wa kunyonga midundo mikali yenye utamu na hisia za hali ya juu toka Dodoma Black Wings Records, waanza project yao ya ujenzi wa Recording Studio itakayo julikana kwa jina la Black wings records, itakayo weza kuinua vipaji vipya toka Dodoma  na nje ya mji wa Dodoma.Akiyasema hayo mkurugenzi wa studio hiyo amesema baada ya kumalizika mradi wa studio hiyo zitafanyika ngoma kali na zenye ujazo wa hali ya juu chini ya Producer mwenye uwezo wa hali ya juu@Enock Boi ambaye mbali na production anaelimu ya muziki toka chuo cha sanaa@TASUBA Bagamoyo.