True entertainment begins at home

Black Wings Records yaanza maandalizi



 wale wakali wa kunyonga midundo mikali yenye utamu na hisia za hali ya juu toka Dodoma Black Wings Records, waanza project yao ya ujenzi wa Recording Studio itakayo julikana kwa jina la Black wings records, itakayo weza kuinua vipaji vipya toka Dodoma  na nje ya mji wa Dodoma.Akiyasema hayo mkurugenzi wa studio hiyo amesema baada ya kumalizika mradi wa studio hiyo zitafanyika ngoma kali na zenye ujazo wa hali ya juu chini ya Producer mwenye uwezo wa hali ya juu@Enock Boi ambaye mbali na production anaelimu ya muziki toka chuo cha sanaa@TASUBA Bagamoyo.